Kuzingirwa kwa Antiokia

Kuzingirwa kwa Antiokia kulifanyika wakati Wasasani chini ya Shapur I walipozingira mji wa Dola la Roma wa Antiokia mwaka 253 baada ya kuwashinda Warumi katika Vita vya Barbalissos.[1]

  1. A Companion to Late Antiquity, "In a devastating campaign in AD 253, Shapur ravaged northern Syria, took Hierapolis, managed to penetrate Roman territory as far as Antioch, and captured this third largest city of the Roman empire."

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search